Usahihi
Rekodi zetu za kujivunia zinatosha kuelezea.Mwendelezo mzuri wa matokeo ya tips za Jamvika na salamba wa kila siku unawapa wanafamilia wetu nafasi kubwa ya kushinda katika kubashiri Soka..
Tunakufunulia Siri Ya Mafanikio Katika Michezo Ya Kubashiri Kwa Kutumia Uchambuzi Wa Kitaalamu.
Salamba Tv ni Jukwaa la kidigitali la elimu ya Kubashiri hasa katika mchezo wa Soka Kupitia maudhui ya Jamvika Na Salamba.,
Mchambuzi mahiri wa soka Nchini Tanzania, Dominick Salamba anashea uzoefu wake katika Uchambuzi wa mchezo wa Soka na Kushauri hata kuwafanya Wanajukwaa kufanya maamuzi ya Kubashiri matokeo kwa kiwango cha Juu cha Ushindi.
Ifanye Jamvika Na Salamba kama mshauri wako kabla hujafanya maamuzi ya kuweka Jamvi.
Tips za Jamvi Kwa siku
Wastani wa Uwezekano Wa Ushindi
Jamuiya Inayotuamini
Wanajumuiya Waliojiandikisha
Rekodi zetu za kujivunia zinatosha kuelezea.Mwendelezo mzuri wa matokeo ya tips za Jamvika na salamba wa kila siku unawapa wanafamilia wetu nafasi kubwa ya kushinda katika kubashiri Soka..
Ungana na familia ya wapenzi wa michezo ya kubahatisha na soka.,wanaoshea pamoja tips za maokoto, mbinu za ushindi na siri za mafanikio.Pata zaidi maarifa na ujifunze kubashiri kutoka kwa familia kubwa zaidi ya mchezo wa kubahatisha Tanzania.
Tunaamini katoka sera ya uwazi..Matokeo ya Tips za Ubashiri hutumwa katika siku inayofuata na yanatunzwa kama kumbukumbu.Hii inaiwawezesha wadau kufuatilia mwenendo na kufanya chambuzi kwa kuongozwa na takwimu.