SalambaTV
NyumbaniHabariJamvikaRatibaRedio
  • Top Stories
  • Breaking News
  • Transfers
  • NBC Premier League
  • Match Highlights
  • Fixtures & Results
  • Standings & Tables
  • Tactical Analysis
NyumbaniHabariJamvikaRatibaRedio
SalambaTV
Ingia
Rudi nyumbani
Ingia

MAN CITY WANA HATIA…! KUSHUSHWA DARAJA!?

Salamba TV· English Premier League (EPL)· 25 Septemba 2026· 1 dakika za kusoma· 23 wasomaji
MAN CITY WANA HATIA…! KUSHUSHWA DARAJA!?

Klabu ya Manchester City imekutwa na hatia kwenye makosa 114 kati ya tuhuma 115 zilizokuwa zinawakabili za kuvunja kwa makusudi kanuni za Ligi Kuu England na matumizi ya nyaraka za uongo za kifedha.

City wamekutwa na hatia na sasa wanasubiri uamuzi wa mamlaka za Soka dhidi yao huku kukiwa na matarajio ya hukumu mbali mbali kama Kupokwa alama, kushushwa daraja, Kupokwa mataji yao na kulipishwa faini ama adhabu nyingi kwa pamoja.

Ikiwa watapokwa Mataji, Asernal watanufaika na mataji mawili, Liverpool mawili na Man United taji Moja.

0 Hifadhi
© 2026 Salamba TVMasharti ya matumiziSera ya faraghaSera ya marejeshoBeti kwa kuwajibika. Watu wazima 18+ pekee.

Shiriki kwa

Zaidi kutoka

English Premier League (EPL) →