Shirikisho la Soka la Ureno (FPF) limetangaza kuwa Cristiano Ronaldo amefungiwa kwa siku 30 na kutozwa faini ya euro 255 kufuatia madai ya kuondoka kambini mwa timu ya taifa wakati wa safari nchini Denmark.
Inadaiwa kuwa Ronaldo mwenyewe aliona anastahili kuadhibiwa, akizingatia nafasi yake kama nahodha na wajibu wa kuwa mfano kwa wachezaji wenzake.



