SalambaTV
NyumbaniHabariJamvikaRatibaRedio
  • Top Stories
  • Breaking News
  • Transfers
  • NBC Premier League
  • Match Highlights
  • Fixtures & Results
  • Standings & Tables
  • Tactical Analysis
NyumbaniHabariJamvikaRatibaRedio
SalambaTV
Ingia
Rudi nyumbani
Ingia

CHANDE AZINDUA MAADHIMISHO YA MIAKA 30 YA HIFADHI ZA BAHARI MAFIA

Salamba TV· Top Stories· 25 Septemba 2026· 1 dakika za kusoma· 19 wasomaji
CHANDE AZINDUA MAADHIMISHO YA MIAKA 30 YA HIFADHI ZA BAHARI MAFIA

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Hamad Hassan Chande, amezindua maadhimisho ya miaka 30 ya Hifadhi za Bahari Mafia pamoja na Tamasha la Mafia Festival, lenye lengo la kuchochea uchumi wa buluu kupitia uhifadhi na matumizi endelevu ya rasilimali za bahari.

Uzinduzi huo umefanyika jana, Septemba 24, 2026, katika eneo la Fukwe ya Utende, Wilaya ya Mafia, Mkoa wa Pwani.

Akizungumza katika hafla hiyo, Mhe. Chande amewataka wawekezaji kutoka ndani na nje ya Tanzania kutumia fursa zilizopo katika rasilimali za bahari kuwekeza na kuchangia kukuza uchumi wa buluu nchini.

Aidha, amewahimiza vijana na wanawake kutumia fursa zinazotokana na utalii wa baharini na shughuli za uhifadhi, huku wakishiriki kikamilifu katika kulinda rasilimali hizo kwa manufaa ya kizazi cha sasa na kijacho.

0 Hifadhi

Habari zinazohusiana

ISRAEL MWENDA ARUDI KIKOSINI YANGA SC:

ISRAEL MWENDA ARUDI KIKOSINI YANGA SC:

Top Stories · 20 Okt

STANBIC YAWAFIKIA WAFANYABIASHARA KARIAKOO KUHAMASISHA MALIPO YA YUAN KWA SHILINGI

Top Stories · 16 Okt

GWAJIMA AITAKA WIZARA KUONGEZA UWajibikaji NA MATOKEO KWA WANANCHI

WATANZANIA WACHANGIA ASILIMIA 90 YA NGUVU KAZI MRADI WA UMEME MALANGALI

SERIKALI YASEMA HAIWAKWAMISHI WAWEKEZAJI, YASISITIZA UHIFADHI WA MAZINGIRA

© 2026 Salamba TVMasharti ya matumiziSera ya faraghaSera ya marejeshoBeti kwa kuwajibika. Watu wazima 18+ pekee.

Shiriki kwa

Habari zinazohusiana

ISRAEL MWENDA ARUDI KIKOSINI YANGA SC:

ISRAEL MWENDA ARUDI KIKOSINI YANGA SC:

Top Stories · 20 Okt

STANBIC YAWAFIKIA WAFANYABIASHARA KARIAKOO KUHAMASISHA MALIPO YA YUAN KWA SHILINGI

STANBIC YAWAFIKIA WAFANYABIASHARA KARIAKOO KUHAMASISHA MALIPO YA YUAN KWA SHILINGI

Top Stories · 16 Okt

GWAJIMA AITAKA WIZARA KUONGEZA UWajibikaji NA MATOKEO KWA WANANCHI

GWAJIMA AITAKA WIZARA KUONGEZA UWajibikaji NA MATOKEO KWA WANANCHI

Top Stories · 16 Okt

WATANZANIA WACHANGIA ASILIMIA 90 YA NGUVU KAZI MRADI WA UMEME MALANGALI

WATANZANIA WACHANGIA ASILIMIA 90 YA NGUVU KAZI MRADI WA UMEME MALANGALI

Top Stories · 16 Okt

SERIKALI YASEMA HAIWAKWAMISHI WAWEKEZAJI, YASISITIZA UHIFADHI WA MAZINGIRA

SERIKALI YASEMA HAIWAKWAMISHI WAWEKEZAJI, YASISITIZA UHIFADHI WA MAZINGIRA

Top Stories · 16 Okt

Zaidi kutoka

Top Stories →