SalambaTV
NyumbaniHabariJamvikaRatibaRedio
  • Top Stories
  • Breaking News
  • Transfers
  • NBC Premier League
  • Match Highlights
  • Fixtures & Results
  • Standings & Tables
  • Tactical Analysis
NyumbaniHabariJamvikaRatibaRedio
SalambaTV
Ingia
Rudi nyumbani
Ingia

RAIS SAMIA ATAKA VIONGOZI KUWAJIBIKA KATIKA. KUTUMIKIA WANANCHI

Salamba TV· Top Stories· 24 Septemba 2026· 1 dakika za kusoma· 19 wasomaji
RAIS SAMIA ATAKA VIONGOZI KUWAJIBIKA KATIKA. KUTUMIKIA WANANCHI

RAIS SAMIA ATAKA VIONGOZI KUWAJIBIKA KATIKA. KUTUMIKIA WANANCHI

Rais wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amewataka watendaji kuwajibika kikamilifu katika kuwahudumia wananchi na kutatua changamoto zinazowakabili.

Ujumbe huo umetolewa na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI), Rabia Abdalla Hamid leo, Septemba 23, 2026, wakati akiendelea na ziara ya CCM katika Mkoa wa Dodoma yenye lengo la kusikiliza, kuzungumza na kutatua changamoto za wananchi kutoka makundi mbalimbali ya kijamii.

Katika ziara hiyo, Rabia amekutana na wananchi waliojitokeza kuwasilisha changamoto, maoni, ushauri na mapendekezo mbalimbali yanayohusu maisha na maendeleo yao.

Baada ya wananchi kuwasilisha changamoto zao, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma amejibu hoja zilizowasilishwa na kuahidi kuendelea kuwahudumia wananchi wa mkoa huo kwa ufanisi.

Aidha, Rabia amesema viongozi wanapaswa kuwa karibu na wananchi, kuwasikiliza na kuhakikisha changamoto zao zinapatiwa ufumbuzi kwa wakati, akisisitiza kuwa huo ndiyo mwelekeo unaotolewa na uongozi wa juu wa CCM na Serikali.

Katika hatua nyingine, Rabia amempongeza Mkuu wa Mkoa wa Dodoma kwa kazi nzuri anayofanya katika kuwahudumia wananchi pamoja na kuwa msikivu kwa changamoto zao.

0 Hifadhi

Habari zinazohusiana

ISRAEL MWENDA ARUDI KIKOSINI YANGA SC:

ISRAEL MWENDA ARUDI KIKOSINI YANGA SC:

Top Stories · 20 Okt

STANBIC YAWAFIKIA WAFANYABIASHARA KARIAKOO KUHAMASISHA MALIPO YA YUAN KWA SHILINGI

STANBIC YAWAFIKIA WAFANYABIASHARA KARIAKOO KUHAMASISHA MALIPO YA YUAN KWA SHILINGI

Top Stories · 16 Okt

GWAJIMA AITAKA WIZARA KUONGEZA UWajibikaji NA MATOKEO KWA WANANCHI

GWAJIMA AITAKA WIZARA KUONGEZA UWajibikaji NA MATOKEO KWA WANANCHI

Top Stories · 16 Okt

WATANZANIA WACHANGIA ASILIMIA 90 YA NGUVU KAZI MRADI WA UMEME MALANGALI

WATANZANIA WACHANGIA ASILIMIA 90 YA NGUVU KAZI MRADI WA UMEME MALANGALI

Top Stories · 16 Okt

SERIKALI YASEMA HAIWAKWAMISHI WAWEKEZAJI, YASISITIZA UHIFADHI WA MAZINGIRA

SERIKALI YASEMA HAIWAKWAMISHI WAWEKEZAJI, YASISITIZA UHIFADHI WA MAZINGIRA

Top Stories · 16 Okt

© 2026 Salamba TVMasharti ya matumiziSera ya faraghaSera ya marejeshoBeti kwa kuwajibika. Watu wazima 18+ pekee.

Shiriki kwa

Habari zinazohusiana

ISRAEL MWENDA ARUDI KIKOSINI YANGA SC:

ISRAEL MWENDA ARUDI KIKOSINI YANGA SC:

Top Stories · 20 Okt

STANBIC YAWAFIKIA WAFANYABIASHARA KARIAKOO KUHAMASISHA MALIPO YA YUAN KWA SHILINGI

STANBIC YAWAFIKIA WAFANYABIASHARA KARIAKOO KUHAMASISHA MALIPO YA YUAN KWA SHILINGI

Top Stories · 16 Okt

GWAJIMA AITAKA WIZARA KUONGEZA UWajibikaji NA MATOKEO KWA WANANCHI

GWAJIMA AITAKA WIZARA KUONGEZA UWajibikaji NA MATOKEO KWA WANANCHI

Top Stories · 16 Okt

WATANZANIA WACHANGIA ASILIMIA 90 YA NGUVU KAZI MRADI WA UMEME MALANGALI

WATANZANIA WACHANGIA ASILIMIA 90 YA NGUVU KAZI MRADI WA UMEME MALANGALI

Top Stories · 16 Okt

SERIKALI YASEMA HAIWAKWAMISHI WAWEKEZAJI, YASISITIZA UHIFADHI WA MAZINGIRA

SERIKALI YASEMA HAIWAKWAMISHI WAWEKEZAJI, YASISITIZA UHIFADHI WA MAZINGIRA

Top Stories · 16 Okt

Zaidi kutoka

Top Stories →