SalambaTV
NyumbaniHabariJamvikaRatibaRedio
  • Top Stories
  • Breaking News
  • Transfers
  • NBC Premier League
  • Match Highlights
  • Fixtures & Results
  • Standings & Tables
  • Tactical Analysis
NyumbaniHabariJamvikaRatibaRedio
SalambaTV
Ingia
Rudi nyumbani
Ingia

WATAALAMU SMZ WAPONDA MAENDELEO YA UJENZI WA UWANJA WA MPIRA DODOMA

Salamba TV· Top Stories· 2 Oktoba 2026· 1 dakika za kusoma· 25 wasomaji
WATAALAMU SMZ WAPONDA MAENDELEO YA UJENZI WA UWANJA WA MPIRA DODOMA

Wataalamu wa Sekta za Habari, Sanaa na Michezo kutoka Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) wamepongeza maendeleo ya ujenzi wa Uwanja wa Mpira wa Miguu wa Dodoma, wakisema kukamilika kwake kutaimarisha mazingira ya michezo na kuongeza fursa kwa wananchi, hususan vijana.

Wataalamu hao wametoa pongezi hizo Oktoba 2, 2026, walipotembelea eneo la ujenzi wa uwanja huo kwa lengo la kujionea hatua iliyofikiwa na kujifunza namna Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inavyowekeza katika miundombinu ya michezo.

Wamesema uwekezaji huo una umuhimu katika kukuza na kuibua vipaji vya vijana, kuongeza fursa za ajira pamoja na shughuli za kiuchumi zinazohusiana na michezo.

Aidha, wamesema uwanja huo utaiwezesha Tanzania kuwa na miundombinu yenye uwezo wa kuandaa na kuendesha mashindano makubwa ya kitaifa na kimataifa.

.

0 Hifadhi

Habari zinazohusiana

ISRAEL MWENDA ARUDI KIKOSINI YANGA SC:

ISRAEL MWENDA ARUDI KIKOSINI YANGA SC:

Top Stories · 20 Okt

STANBIC YAWAFIKIA WAFANYABIASHARA KARIAKOO KUHAMASISHA MALIPO YA YUAN KWA SHILINGI

Top Stories · 16 Okt

GWAJIMA AITAKA WIZARA KUONGEZA UWajibikaji NA MATOKEO KWA WANANCHI

WATANZANIA WACHANGIA ASILIMIA 90 YA NGUVU KAZI MRADI WA UMEME MALANGALI

SERIKALI YASEMA HAIWAKWAMISHI WAWEKEZAJI, YASISITIZA UHIFADHI WA MAZINGIRA

© 2026 Salamba TVMasharti ya matumiziSera ya faraghaSera ya marejeshoBeti kwa kuwajibika. Watu wazima 18+ pekee.

Shiriki kwa

Habari zinazohusiana

ISRAEL MWENDA ARUDI KIKOSINI YANGA SC:

ISRAEL MWENDA ARUDI KIKOSINI YANGA SC:

Top Stories · 20 Okt

STANBIC YAWAFIKIA WAFANYABIASHARA KARIAKOO KUHAMASISHA MALIPO YA YUAN KWA SHILINGI

STANBIC YAWAFIKIA WAFANYABIASHARA KARIAKOO KUHAMASISHA MALIPO YA YUAN KWA SHILINGI

Top Stories · 16 Okt

GWAJIMA AITAKA WIZARA KUONGEZA UWajibikaji NA MATOKEO KWA WANANCHI

GWAJIMA AITAKA WIZARA KUONGEZA UWajibikaji NA MATOKEO KWA WANANCHI

Top Stories · 16 Okt

WATANZANIA WACHANGIA ASILIMIA 90 YA NGUVU KAZI MRADI WA UMEME MALANGALI

WATANZANIA WACHANGIA ASILIMIA 90 YA NGUVU KAZI MRADI WA UMEME MALANGALI

Top Stories · 16 Okt

SERIKALI YASEMA HAIWAKWAMISHI WAWEKEZAJI, YASISITIZA UHIFADHI WA MAZINGIRA

SERIKALI YASEMA HAIWAKWAMISHI WAWEKEZAJI, YASISITIZA UHIFADHI WA MAZINGIRA

Top Stories · 16 Okt

Zaidi kutoka

Top Stories →