SalambaTV
NyumbaniHabariJamvikaRatibaRedio
  • Top Stories
  • Breaking News
  • Transfers
  • NBC Premier League
  • Match Highlights
  • Fixtures & Results
  • Standings & Tables
  • Tactical Analysis
NyumbaniHabariJamvikaRatibaRedio
SalambaTV
Ingia
Rudi nyumbani
Ingia

WAZIRI AWESO: BWAWA LA NANJA KUKAMILIKA NDANI YA MIEZI MITATU

Salamba TV· Top Stories· 1 Oktoba 2026· 1 dakika za kusoma· 24 wasomaji
WAZIRI AWESO: BWAWA LA NANJA KUKAMILIKA NDANI YA MIEZI MITATU

Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa H. Aweso, tarehe 30 Septemba 2026 ametembelea na kukagua ujenzi na uimarishaji wa Bwawa la Nanja lililopo Kata ya Lepurko, wilayani Monduli, ambapo amesema kazi hiyo inatarajiwa kukamilika ndani ya miezi mitatu, huku mwezi mmoja tayari ukiwa umekamilika.

Waziri Aweso amesema baada ya kukamilika, uwezo wa bwawa hilo utaongezeka kutoka lita milioni 28 hadi lita milioni 46, huku tuta likiwa na urefu wa mita 640 na upana wa mita 8. Bwawa hilo linatarajiwa kunufaisha zaidi ya mifugo 88,000 pamoja na wananchi wanaozunguka eneo hilo.

Aidha, mradi huo utahusisha ujenzi wa mabirika 10, maeneo 10 ya kuchotea maji pamoja na bomba lenye kipenyo cha nchi 10 kwa ajili ya matumizi na upanuzi wa huduma ya maji hapo baadaye.

Mkuu wa Wilaya ya Monduli amempongeza Waziri Aweso kwa juhudi za kutatua changamoto za maji na kueleza kuwa yuko tayari kutekeleza maelekezo yote yatakayosaidia wananchi na mifugo kupata maji kwa uhakika.

Kwa upande wake, Mwenyekiti wa Halmashauri, Kisioki, ameshukuru Serikali kwa uimarishaji wa bwawa hilo, akieleza kuwa hatua hiyo itasaidia kuongeza uwezo wa kuhifadhi maji na kulinda bwawa dhidi ya athari za mvua kubwa, ikiwemo El Niño.

Akizungumza kwa niaba ya wananchi, Diwani wa Sepeko, Kimaai, amemshukuru Waziri Aweso na kumuomba kurejea Monduli kuzindua bwawa hilo mara litakapokamilika.

0 Hifadhi

Habari zinazohusiana

ISRAEL MWENDA ARUDI KIKOSINI YANGA SC:

ISRAEL MWENDA ARUDI KIKOSINI YANGA SC:

Top Stories · 20 Okt

STANBIC YAWAFIKIA WAFANYABIASHARA KARIAKOO KUHAMASISHA MALIPO YA YUAN KWA SHILINGI

Top Stories · 16 Okt

GWAJIMA AITAKA WIZARA KUONGEZA UWajibikaji NA MATOKEO KWA WANANCHI

WATANZANIA WACHANGIA ASILIMIA 90 YA NGUVU KAZI MRADI WA UMEME MALANGALI

SERIKALI YASEMA HAIWAKWAMISHI WAWEKEZAJI, YASISITIZA UHIFADHI WA MAZINGIRA

© 2026 Salamba TVMasharti ya matumiziSera ya faraghaSera ya marejeshoBeti kwa kuwajibika. Watu wazima 18+ pekee.

Shiriki kwa

Habari zinazohusiana

ISRAEL MWENDA ARUDI KIKOSINI YANGA SC:

ISRAEL MWENDA ARUDI KIKOSINI YANGA SC:

Top Stories · 20 Okt

STANBIC YAWAFIKIA WAFANYABIASHARA KARIAKOO KUHAMASISHA MALIPO YA YUAN KWA SHILINGI

STANBIC YAWAFIKIA WAFANYABIASHARA KARIAKOO KUHAMASISHA MALIPO YA YUAN KWA SHILINGI

Top Stories · 16 Okt

GWAJIMA AITAKA WIZARA KUONGEZA UWajibikaji NA MATOKEO KWA WANANCHI

GWAJIMA AITAKA WIZARA KUONGEZA UWajibikaji NA MATOKEO KWA WANANCHI

Top Stories · 16 Okt

WATANZANIA WACHANGIA ASILIMIA 90 YA NGUVU KAZI MRADI WA UMEME MALANGALI

WATANZANIA WACHANGIA ASILIMIA 90 YA NGUVU KAZI MRADI WA UMEME MALANGALI

Top Stories · 16 Okt

SERIKALI YASEMA HAIWAKWAMISHI WAWEKEZAJI, YASISITIZA UHIFADHI WA MAZINGIRA

SERIKALI YASEMA HAIWAKWAMISHI WAWEKEZAJI, YASISITIZA UHIFADHI WA MAZINGIRA

Top Stories · 16 Okt

Zaidi kutoka

Top Stories →