SalambaTV
NyumbaniHabariJamvikaRatibaRedio
  • Top Stories
  • Breaking News
  • Transfers
  • NBC Premier League
  • Match Highlights
  • Fixtures & Results
  • Standings & Tables
  • Tactical Analysis
NyumbaniHabariJamvikaRatibaRedio
SalambaTV
Ingia

Habari

Ingia

Top Stories

71 habari

Top Stories

Wizara ya Fedha Yaipongeza AICAD, Yasisitiza Matumizi ya Tafiti Kukuza Uchumi wa Afrika

Salamba TV·Top Stories·28 Sep

Top Stories

Serikali Yawasihi Wachimbaji Wadogo Geita Kuchukua Tahadhari Dhidi ya Mvua za El Nino

Salamba TV·Top Stories·28 Sep

Top Stories

Tanzania na Ujerumani Zasisitiza Ushirikiano Imara Kwenye Maendeleo na Viwanda

Salamba TV·Top Stories·28 Sep

Top Stories

Fursa za Gesi na Mafuta Lindi: Watu Wenye Mahitaji Maalum Wahimizwa Kuchangamkia Miradi

Salamba TV·Top Stories·28 Sep

Top Stories

WAZIRI AKWILAPO AZINDUA KLINIKI YA ARDHI YA KIDIJITI MTWARA

Salamba TV·Top Stories·28 Sep

Top Stories

FCC YAWAWEZESHA WAKUFUNZI WA DPA KUBAINI BIDHAA BANDIA

Tume ya Ushindani (FCC) imewajengea uwezo wakufunzi wa Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es Salaam (DPA) kuhusu utambuzi wa bidhaa bandia, ikiwa ni hatua ya kuongeza uelewa na kuimarisha mapambano dhidi ya bidhaa hizo nchini.

Salamba TV·Top Stories·25 Sep

Top Stories

MWIGULU NCHEMBA ATEMBELEA VATICAN CITY NCHINI ITALIA

Waziri Mkuu wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, ametembelea Vatican City jijini Roma, Italia, ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kando ya Mkutano wa Kimataifa wa Afya Moja na Mifumo ya Chakula na Kilimo uliofanyika katika Makao Makuu ya Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO).

Salamba TV·Top Stories·25 Sep

Top Stories

RC SHIGELA AAGIZA TATHMINI YA HARAKA BWAWA LA DONGOBESH

Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Martin Shigela, amefanya ziara katika Wilaya ya Mbulu Septemba 24, 2026, kwa ajili ya kukagua maeneo hatarishi yanayoweza kuathiri miundombinu muhimu kutokana na mvua zinazotarajiwa kuanza kunyesha mwanzoni mwa Oktoba.

Salamba TV·Top Stories·25 Sep

Top Stories

VIJANA WATAKIWA KUJIFUNZA KUFANYA MAAMUZI NA KUTUMIA TEKNOLOJIA KWA UANGALIFU

Imeelezwa kuwa vijana wanapaswa kufundishwa namna ya kufanya maamuzi sahihi na kujisimamia wenyewe, ili waweze kutumia teknolojia kwa uangalifu na kuepuka athari zinazoweza kujitokeza.

Salamba TV·Top Stories·25 Sep

Top Stories

CHANDE AZINDUA MAADHIMISHO YA MIAKA 30 YA HIFADHI ZA BAHARI MAFIA

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Hamad Hassan Chande, amezindua maadhimisho ya miaka 30 ya Hifadhi za Bahari Mafia pamoja na Tamasha la Mafia Festival, lenye lengo la kuchochea uchumi wa buluu kupitia uhifadhi na matumizi endelevu ya rasilimali za bahari.

Salamba TV·Top Stories·25 Sep

Top Stories

DC BUNDA AAGIZA MIKUTANO YA SERIKALI KUFANYIKA KWA WAKATI

Mkuu wa Wilaya ya Bunda, Mhe. Aswege Enock Kaminyoge, amezitaka kamati zote kuanzia ngazi ya serikali za mitaa hadi halmashauri kuhakikisha mikutano yao inafanyika kwa wakati kwa kuzingatia kalenda na ratiba zilizowekwa.

Salamba TV·Top Stories·25 Sep

Top Stories

UWT YAPONGEZA UJENZI WA JENGO JIPYA LA MAKAO MAKUU YA CCM

Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Mary Chatanda, amepongeza uongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa maendeleo ya ujenzi wa jengo jipya la Makao Makuu ya chama hicho, ambalo limefikia asilimia 55.

Salamba TV·Top Stories·25 Sep

Top Stories

ACT-WAZALENDO YAFANYA MABADILIKO BARAZA KIVULI LA MAWAZIRI

Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Dorothy Semu, amefanya mabadiliko katika Baraza Kivuli la Mawaziri la chama hicho, kwa kuteua mawaziri wapya katika wizara tatu.

Salamba TV·Top Stories·25 Sep

Top Stories

XI JINPING AMTAKA TRUMP KUWA MAKINI KATIKA SUALA LA TAIWAN

Rais wa China, Xi Jinping, amemtaka Rais wa Marekani, Donald Trump, kuwa makini katika kushughulikia suala la Taiwan, akisisitiza umuhimu wa Washington kuheshimu msimamo wa China kuhusu eneo hilo.

Salamba TV·Top Stories·25 Sep

Top Stories

LISSU AHOJI MSINGI WA KISHERIA WA MASHTAKA YANAYOMKABILI

Salamba TV·Top Stories·24 Sep

Top Stories

RAIS SAMIA ATAKA VIONGOZI KUWAJIBIKA KATIKA. KUTUMIKIA WANANCHI

Salamba TV·Top Stories·24 Sep

Top Stories

INNO JOSPIN LOEMBA AUNGANA NA TIMU YA TAIFA YA CONGO

Salamba TV·Top Stories·22 Sep

←4 / 4
© 2026 Salamba TVMasharti ya matumiziSera ya faraghaSera ya marejeshoBeti kwa kuwajibika. Watu wazima 18+ pekee.

Hewani sasa

Inachezwa sasa 1 wasikilizaji

salamba radio songmixdown

Sikiliza

Zinazovuma

  1. 1
    FEDERICO VALVERDE KUPUMZIKA MIEZI 2–3 BAADA YA KUPATA JERAHA

    Breaking News