
WATAALAMU SMZ WAPONDA MAENDELEO YA UJENZI WA UWANJA WA MPIRA DODOMA
Salamba TV·Top Stories·2 Okt

76 habari

Wataalamu wa Sekta za Habari, Sanaa na Michezo kutoka Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) wamepongeza maendeleo ya ujenzi wa Uwanja wa Mpira wa Miguu wa Dodoma, wakisema kukamilika kwake kutaimarisha mazingira ya michezo na kuongeza fursa kwa wananchi, hususan vijana.
Salamba TV·Top Stories·2 Okt

Ofisi ya Uhamiaji Mkoa wa Mara imeendelea kutekeleza kampeni ya “Mjue Jirani Yako” kwa kutoa elimu kuhusu masuala ya uhamiaji kwa wanafunzi wa Shule ya Msingi John Bosco, iliyopo Kata ya Mukendo, Musoma Mjini.
Salamba TV·Top Stories·2 Okt

Serikali imesema Sera ya Taifa ya Usimamizi wa Mnyororo wa Ugavi ya mwaka 2025 ni fursa kwa Watanzania, hususan wanawake, vijana na makundi mengine maalumu, kushiriki zaidi katika zabuni na shughuli za usambazaji wa bidhaa na huduma kwa Serikali.
Salamba TV·Top Stories·2 Okt

Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema hatomuunga mkono Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, katika uchaguzi ujao wa Israel unaotarajiwa kufanyika Oktoba 27.
Salamba TV·Top Stories·2 Okt

Manchester City imewasilisha rasmi rufaa dhidi ya uamuzi wa Tume Huru iliyoiweka klabu hiyo na hatia katika mashtaka 114 kati ya 115 ya ukiukaji wa kanuni za kifedha za Premier League.
Salamba TV·Top Stories·2 Okt

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi, amesema Mpango wa Ufadhili wa Uunganishaji Umeme kwa Wananchi unaotekelezwa kwa ushirikiano kati ya TANESCO na Benki ya CRDB utasaidia kuongeza kasi ya upatikanaji wa umeme kwa wananchi wa mijini na vijijini.
Salamba TV·Top Stories·2 Okt

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo, amekutana na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Shirikisho la Uswisi na Mkuu wa Kitengo cha Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara na Nchi zinazozungumza Kifaransa, Balozi Philipp Stalder, jijini Dar
Salamba TV·Top Stories·2 Okt

Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa H. Aweso, tarehe 30 Septemba 2026 ametembelea na kukagua ujenzi na uimarishaji wa Bwawa la Nanja lililopo Kata ya Lepurko, wilayani Monduli, ambapo amesema kazi hiyo inatarajiwa kukamilika ndani ya miezi mitatu, huku mwezi mmoja tayari ukiwa umekamilika.
Salamba TV·Top Stories·1 Okt

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya Burundi, kwa pamoja zimekubaliana kuimarisha ushirikiano wa kimkakati katika maeneo ya mbalimbali ya kimaendeleo ikiwemo siasa na diplomasia, usalama, biashara, uwekezaji, miundombinu, nishati na maendeleo ya kijamii, hatua inayol
Salamba TV·Top Stories·1 Okt

Serikali imewataka wanahabari kutumia kalamu zao na weledi wao kuongeza uelewa wa umma kuhusu Sera ya Taifa ya Usimamizi wa Mnyororo wa Ugavi, 2025, kwa kuzingatia takwimu sahihi, kueleza fursa zinazotokana na sera hiyo na namna inavyolenga kuimarisha matumizi bora ya rasilimali za umma.
Salamba TV·Top Stories·1 Okt

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Usultani wa Oman zimeingia makubaliano mapya yanayolenga kuimarisha ushirikiano katika sekta ya habari, ikiwemo kubadilishana uzoefu, ujuzi na mafunzo ya kitaaluma kwa waandishi na wataalamu wa vyombo vya habari wa nchi hizo mbili.
Salamba TV·Top Stories·1 Okt

Salamba TV·Top Stories·28 Sep

Salamba TV·Top Stories·28 Sep

Salamba TV·Top Stories·28 Sep

Salamba TV·Top Stories·28 Sep