


76 habari


Tume ya Ushindani (FCC) imewajengea uwezo wakufunzi wa Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es Salaam (DPA) kuhusu utambuzi wa bidhaa bandia, ikiwa ni hatua ya kuongeza uelewa na kuimarisha mapambano dhidi ya bidhaa hizo nchini.
Salamba TV·Top Stories·25 Sep

Waziri Mkuu wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, ametembelea Vatican City jijini Roma, Italia, ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kando ya Mkutano wa Kimataifa wa Afya Moja na Mifumo ya Chakula na Kilimo uliofanyika katika Makao Makuu ya Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO).
Salamba TV·Top Stories·25 Sep

Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Martin Shigela, amefanya ziara katika Wilaya ya Mbulu Septemba 24, 2026, kwa ajili ya kukagua maeneo hatarishi yanayoweza kuathiri miundombinu muhimu kutokana na mvua zinazotarajiwa kuanza kunyesha mwanzoni mwa Oktoba.
Salamba TV·Top Stories·25 Sep

Imeelezwa kuwa vijana wanapaswa kufundishwa namna ya kufanya maamuzi sahihi na kujisimamia wenyewe, ili waweze kutumia teknolojia kwa uangalifu na kuepuka athari zinazoweza kujitokeza.
Salamba TV·Top Stories·25 Sep

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Hamad Hassan Chande, amezindua maadhimisho ya miaka 30 ya Hifadhi za Bahari Mafia pamoja na Tamasha la Mafia Festival, lenye lengo la kuchochea uchumi wa buluu kupitia uhifadhi na matumizi endelevu ya rasilimali za bahari.
Salamba TV·Top Stories·25 Sep

Salamba TV·English Premier League (EPL)·25 Sep

Mkuu wa Wilaya ya Bunda, Mhe. Aswege Enock Kaminyoge, amezitaka kamati zote kuanzia ngazi ya serikali za mitaa hadi halmashauri kuhakikisha mikutano yao inafanyika kwa wakati kwa kuzingatia kalenda na ratiba zilizowekwa.
Salamba TV·Top Stories·25 Sep

Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Mary Chatanda, amepongeza uongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa maendeleo ya ujenzi wa jengo jipya la Makao Makuu ya chama hicho, ambalo limefikia asilimia 55.
Salamba TV·Top Stories·25 Sep

Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Dorothy Semu, amefanya mabadiliko katika Baraza Kivuli la Mawaziri la chama hicho, kwa kuteua mawaziri wapya katika wizara tatu.
Salamba TV·Top Stories·25 Sep

Rais wa China, Xi Jinping, amemtaka Rais wa Marekani, Donald Trump, kuwa makini katika kushughulikia suala la Taiwan, akisisitiza umuhimu wa Washington kuheshimu msimamo wa China kuhusu eneo hilo.
Salamba TV·Top Stories·25 Sep


Salamba TV·Top Stories·24 Sep


Kiungo wa Federico Valverde wa Real Madrid amepata jeraha la kifundo cha mguu daraja la tatu (Grade 3 ankle sprain).
Salamba TV·Breaking News·22 Sep